TANGAZO


Thursday, February 2, 2012

Rais Jakaya azindua benki ya First National Bank -Tanzania (FNB-Tanzania)

 Rais Jakaya Kikwete, akipiga makofi baada ya kuzindua ya First National Bank -Tanzania (FNB-Tanzania), leo Hoteli ya Kilimanjaro (Grand Hyatt hotel), Dar es salaam. Wengine kutoka kushoto ni Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania, Thanduyise Chiliza, Ofisa Mtendaji Mkuu wa FirstRand, Sizwe Nxasana na Katibu Mkuu Msaidizi wa Wizara ya Fedha, Elizabeth Nyambibo. (Picha na Ikulu)



 Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na wageni pamoja na watu mbalimbali wakati alipokuwa akiizindua benki ya First National Bank -Tanzania (FNB-Tanzania), leo Kilimanjaro Grand Hyatt hotel, Dar es salaam, Februar 2, 2012.

Rais Jakaya Kikwete, akizungumza kwenye uzinduzi huo wa bFirst National Bank Tanzania (FNB-Tanzania), leo Kilimanjaro Grand Hyatt hotel, Dar es salaam, Februar 2, 2012.

No comments:

Post a Comment