Emmanuel Okwi wa Simba, akikimbia na mpira huku akifuatwa na Cyprian Lukindo wa Villa Squard katika mchezo huo.
Uhuru Selemani wa Simba, akijaribu kumpiga chenga Cyprian Lukindo wa Villa Squard katika mchezo huo.
Mchezaji Mwinyi Kazimoto wa Simba (kushoto), akijaribu kumpigachenga Haruna Shamte wa Villa Squard katika mchezo huo.
Machaku Salum wa Simba (kushoto), akimpoteza Haruna Shamte wakati walipokutana katika mchezo huo.
Wachezaji Salum Machaku (kushoto) wa Simba na Nsa Job wa Villa Squard, wakipambana katika mchezo huo.
Machaku Salum wa Simba, akimruka Evarist Maganga wa Villa Squard, wati timu zao zilipokutana katika mchezo wa Ligi Kikuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Tafa, Dar es Salaam leojioni ambapo Villa waliibuka na ushindi wa goli 1-2.
Nassor Said Chollo wa Simba akikimbilia mpira na Mohammed Suleiman wa Villa Squard katika mchezo huo.
Patrick Mafisango wa Simba, akipiga kross langoni kwa Villa Squard huku akifuatwa na Cyprian Lukindo wa timu hiyo.
Mchezaji Salum Machak wa Simba (kushoto), akipigwa stop na Mohammed Suleiman wa Villa Squard katika mchezo wao huo.
No comments:
Post a Comment