Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na mtoto
Maganga mwenye umri wa miaka mitatu, ambaye pamoja na mama yake, walikuwa katika
mojawapo ya vikundi kadhaa vya ngoma za asili zilizomlaki uwanja wa ndege wa
Mwanza leo, January 4, 2012, alikotua tayari kwa kujiunga na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kusherehekea
miaka 35 ya chama hicho tawala, Februari 5, 2012.
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofika Uwanja wa ndege wa mjini Mwanza kumpokea, alipowasili akitokea Dar es Salaam, kwa ajili ya maadhimisho ya kuzaliwa CCM, Februari 5. (Picha na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment