Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa pamoja na Masheikh kwenye Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW), Viwanja vya Maisara Suleiman, mjini Zanzibar, usiku wa kuamkia leo, Februari 5, 2012. (Picha na Ramadhan Othaman Ikulu)
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akiwa kwenye hadhara ya Maulid, Viwanja vya Maisara Suleiman, mjini Zanzibar usiku wa kuamkia leo.
No comments:
Post a Comment