Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi vitendea kazi, Balozi Dk. James Msekela, mara baada ya kumwapisha leo Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete, akipiga picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Italy, Dk. James Msekela, mara baada ya kumwapisha leo Ikulu, jijini Dar es Salaam. Kulia ni mke wa balozi Msekela, Enny Msekela.
Rais Jakaya Kikwete, akipiga picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Italy, Dk. James Msekela pamoja na familia yake, mara baada ya kumwapisha leo Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na Makamu wake, Dk. Mohamed Gharib Bilal (katikati), akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Italy, Dk. James Msekela, mara baada ya kumwapisha Ikulu, jijini Dar es Salaam leo.
Balozi mpya wa Tanzania nchini Italy, Dk. James Msekela, akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment