Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma, wakimjulia hali, Jenerali mstaafu wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), Ernest Mwita Kiaro, jijini Mwanza leo, January 6, 2012. Jenerali Mstaafu Kiaro, alikuwa Mkuu wa JWTZ katika Serikali ya Awamu ya Kwanza. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment