TANGAZO


Monday, February 6, 2012

Rais Kikwete akutana na Viongozi wa Machinga Mwanza

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na wawakilishi wa kundi moja la wachuuzi (machinga) wa jijini Mwanza ambao leo January 6, 2012, walikwenda Ikulu ndogo ya jiji hilo na kumweleza changamoto zinazowakabili, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mitaji pamoja na taaluma ya kufanyia biashara. Rais Kikwete ametoa milioni 10 kwa ajili ya wamachinga hao, kukopeshana mitaji. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment