TANGAZO


Monday, February 6, 2012

Balozi wa China nchini, akutana na Makamu wa Rais, Dk. Bilal

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng, aliyefika ofisini kwake, Ikulu Dar es Salaam leo, Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)


Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya kitabu cha China kutoka kwa Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng, aliyefika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam, kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini.

No comments:

Post a Comment