
Mkurugenzi wa Kitengo cha Siasa, Ulinzi na Usalama
wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kagyabukama Kiliba (kushoto), akizungumza
na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mchakato wa
uundwaji wa mfumo wa Itifaki ya Amani na Usalama kwa nchi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa masuala ya Siasa wa wizara hiyo, Patrick Mwatonoka.

Waandishi wa habari wakisikiliza maelezo mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa katika hafla hiyo leo jijini.

Mkurugenzi Msaidizi wa masuala ya Ulinzi na Usalama wa
wizara hiyo, Stephen Mbunda, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wamkutano huo.

Wanaandishi wa habari wakiwa kazini katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment