Rais wa Mahakama ya Haki za binadamu amtembelea Kikwete
Rais Jakaya Kikwete akimsindikiza, Rais wa Mahakama ya
Haki za Binadamu ya Afrika, Jaji Gerald Miyungeko, aliyemtembelea jana baada ya
kikao cha 18 cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment