
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa
Viti Maalum, Rita Mlaki (katikati), bungeni Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Mbunge wa
Busega, Titus Kamani kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo, Januari 31, 2012.
Akisalimiana na mmoja wa wageni wake kwenye viwanja vya Bunge leo.
No comments:
Post a Comment