TANGAZO


Tuesday, January 31, 2012

Rais Shein akutana na Balozi wa Marekani nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenherdt, alipofika Ikulu mjini Zanzibar leo. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.)


Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Ujumbe uliofuatana na Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenherdt, walipofika Ikulu, mjini Zanzibar leo.


Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenherts, alipofika Ikulu mjini Zanzibar leo 31/01/20120.

No comments:

Post a Comment