
Waziri
Mkuu,
Mizengo Pinda akizungumza na mabalozi wapya walioteluliwa na kuapishwa na Rais
Jakaya Kikwete hivi Karibuni. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwak jijini
Dar es salaam Januari 20, 2012. Kushoto kwake ni Dkt. Batilda Burian-Kenya na Ali
Saleh-Oman. Kulia kwake ni Philip Marmo-China, Dkt. Ladislaus Komba- Uganda,
Shamim Nyanduga- Msumbiji na Grace Mujuma- Zambia. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya
pamoja na mabalozi wapya walioteuliwa na kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete hivi
karibuni baada ya kuzungumza nao, Ofisini kwake jijini Dar es salam Januari leo 20,
2012. Kutoka kulia ni Dkt. Batild Burian- Kenya, Philip Marmo- China, Shamim
Nyanduga- Msumbiji, Dkt. Ladislaus Komba - Uganda, Mohamed Hamza - Misri, Grace
Mujuma, Zambia na Ali Saleh - Oman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment