Pages

Friday, January 20, 2012

Dk Kawambwa katika ulinzi mkali, maandamano ya wanafunzi wa Kiislamu

 

Askari wa kutuliza ghasia (FFU), wakiwa katika ulinzi mkali huku mbele yao wakiwepo wanafunzi walioshikilia mabango yao, yenye ujumbe mbalimbali kwenye viwanja vya Kidongo Chekundu, Dar es Salaam leo. 

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akimkaribisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa kwenye viwanja hivyo. (Picha na Othman Michuzi)

No comments:

Post a Comment