TANGAZO


Thursday, January 19, 2012

Twiga Stars yajiandaa kwa pambano lake na Namibia

 Wachezaji wa timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), wakitoka kwenye mazoezi Uwanja wa Karume kwa ajili ya kujiandaa na mpambano kati yao na timu ya Taifa ya Namibia, utakaopigwa jijini Dar es Salaam hivi karibuni. (Picha na Kassim Mbarouk)



 Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Angetile Osiah, akiwapatia maelezo baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), mara baada ya kumalizika kwa mazoezi yao ya kujiandaa na mpambano kati yao na timu ya Taifa ya Namibia, utakaopigwa jijini Dar es Salaam hivi karibuni. (Picha na Kassim Mbarouk)


 Wachezaji wa timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), wakitoka kwenye mazoezi yao, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo kujiandaa na mpambano wao Namibia hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment