TANGAZO


Thursday, January 19, 2012

Kilimanjaro Bia yakabidhi vifaa kwa Simba na Yanga




Mkurugenzi wa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia), akimkabidhi vifaa kiongozi wa Simba wa hafla ya kugawa vifaa kwa timu za Yanga na Simba zinazodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, katika Ligi Kuu ya Vodacom. Hafla hiyo, ilifanyika Ofisi za m leo. Katikati ni George Kavishe ambaye ni Meneja wa bia ya Kilimanjaro.

Viongozi wa Yanga, Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah pamoja na viongozi wa TBL, wakionesha vifaa vilivyokabidhiwa kwa Yanga, leo mchana, Ofisi za TFF, Uwanja wa Karume.

No comments:

Post a Comment