TANGAZO


Thursday, January 19, 2012

Kupanda kwa bei ya umeme nchini, CTI yailaumu EWURA

Mwenyekiti wa Shirikisho la Wenye viwanda Tanzania (CTI), Felix Mosha, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu kupanda kwa bei ya umeme, kulikotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), kwamba kumewatingisha watumiaji wa huduma hiyo na kuwa havilingani na viwango vya nchi jirani, ambazo Tanzania inashindana nazo. Katikati ni Mkurugenzi wa Sera wa CTI, Hussein Kamote na kulia ni Mkutubi wa Shirikisho hilo, Thomas Kimbunga. (Picha na Kassim Mbarouk) 

No comments:

Post a Comment