Mwanahamis Omar wa Twiga, akimtoka Stacey Naris wa Namibia katika mchezo huo.
Mchezaji Asha Rashid wa Twiga Stars akimtoka Lovisa Mulunga wa Namibia.
Asha Rashid, akimwuacha Lovisa Mulunga wakati wa mchezo huo, ambapo Twiga iliwaadhibu Wanamibia hao kwa mabao 5-2,
Mchezaji Asha Rashid wa Esther Amukwaya (chini) na Lovisa Mulunga (12) wa Namibia katika kipute hicho.
Wachezaji wa Twiga, Fatuma Mustafa (9), Mwanahamis Omar (8) na Etoe Mlenzi (13), wakishangilia moja ya mabao waliyofunga katika mchezo huo.
Mashabiki wa Twiga Stars wakiishangilia timu hiyo, wakati wa mchezo huo.
Raia wa Kigeni, wakionesha maandishi ya timu ya Twiga Stars waliyokuwa wakiishabikia katika mchezo huo.
Mwanahamis Omar (kushoto), akishangilia moja ya bao aliloifungia timu yake ya Twiga Stars, akiwa na Etoe Mlenzi.










No comments:
Post a Comment