TANGAZO


Sunday, January 29, 2012

Waziri Mkuu Pinda atoa msimamo wa Serikali kuhusiana na madaktari waliogoma

Baadhi ya Mawaziri na Katibu Mkuu waliohudhuria katika mkutano wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mgomo wa madaktari nchini. (Picha na Kassim Mbarouk)



 Baadhi ya waandishi wa habari waliokuwepo kwenye mkutano wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda na waandishi wa habari, Karimjee Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumzia mgomo wa madaktari nchini.


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hajji Mponda, akizungumza katika mkutano huo. Katikati ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadik.



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na waandishi wa habari, kuhusu mgomo wa madaktari nchini, ambapo aliwataka mpaka kufikia kesho wawe wamesharejea kazini, bila masharti yoyote na akasema atakayeshindwa kufanya hivyo atakuwa amejiondoa katika ajira ya Serikali. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadik.

No comments:

Post a Comment