Spika wa Bunge, Anne Makinda (Mb), akiongoza kikao cha Kamati ya uongozi ya Bunge mara baada ya kipindi cha maswali na majibu Bungeni, Dodoma Leo. Kamati ya Uongozi imekaa kupitia upya ratiba ya mkutano wa Bunge ulioanza leo, kwa lengo la kuboresha na kupanga siku za kujadili miswada mbalimbali itakayowasilishwa Bungeni. (Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge)
Spika wa Bunge, Anne Makinda (kulia), akiongoza kikao cha Kamati hiyo, ya Bunge mara baada ya kipindi cha maswali na majibu Bungeni, Dodoma Leo.

No comments:
Post a Comment