Uongozi wa Wizara ya Kilimo na Maliasili, ukimsubiri Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, kwa ajili ya kuzungumza nao, Ikulu mjini Zanzibar leo, Januari 30, 2012. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu)
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na uongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo, ukumbi wa mikutano wa Ikulu mjini Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia), akizungumza na uongozi wa Wizara hiyo. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Serikali hiyo, Balozi Seif Ali Idd.
Watendaji wa uongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, alipozungumza nao katika ukumbi wa
mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.





No comments:
Post a Comment