TANGAZO


Monday, January 30, 2012

Rais Shein, akutana na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, mjini Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia), akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Dk. Alberic Kacou, alipofika Ikulu mjini Zanzibar leo. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu)



 Rais wa Zanzibar,  Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP nchini, Dk. Alberic Kacou, alipomtembelea Ikulu mjini Zanzibar leo Januari 30, 2012.




Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwakilishi huyo, mara baada ya kufanya naye mazunguzo mafupi Ikulu, mjini Zanzibar, leo Januari 30.

No comments:

Post a Comment