TANGAZO


Monday, January 30, 2012

Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), jijini Addis Ababa, Ethiopia

 Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), lililozinduliwa jana na Rais wa China,  Hu Jintao, jijini Addis Ababa, Ethiopia, January 29, 2012, Jengo hili ambalo limegharimu dola milioni moja za Kimarekani, limejengwa kwa udhamini wa China. (Picha na Ikulu)


 Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), linavyoonekana kwa nje, upande wa kulia.


Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), linavyoonekana kwa mbele.

No comments:

Post a Comment