Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kushoto), akiwa na baadhi ya viongozi wanaohudhuria mkutano wa kujadili maendeleo ya uchumi Duniani, Davos, Uswis leo. Kutoka kushoto ni; Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, Waziri wa Fedha wa Nigeria, Ngozi Okonjo-Iweala, Waziri Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi, Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, Rais wa Guinea, Alpha Conde, Mke wa Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Sarah Brown na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Gordon Brown. (Picha na Ikulu)
Rais Jakaya Kikwete, akiwa kwenye majadiliano yanahusu Afrika ya mpito kuelekea mabadiliko ya kiuchumi katika mkutano wa uchumi unaofanyika, Davos nchini Uswis. Wengine kutoka kushoto ni Rais Alpha Conde wa Guinea, Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, Waziri Mkuu wa Ethiopia, Meles Zenawi, Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma na Waziri Mkuu mtsaafu wa Uingereza Gordon Brown.
No comments:
Post a Comment