![]() |
| Rais Jakaya Kikwete, akiweka saini kitabu cha
maombolezo nyumbani kwa marehemu Jeremiah Sumari, Mbezi Tangi Bovu jijini. |
Rais Jakaya Kikwete, akiongea na ndugu na jamaa wa
marehemu pamoja na Spika Anne Makinda, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa
ambaye ni mzazi wa binti aliyeolewa na mtoto wa marehemu Sumar.
Rais Jakaya Kikwete, akitoa pole kwa
wafiwa nyumbani kwa marehemu Jeremiah Sumari, Tangi Bovu, Mbezi Dar es Salaam.




No comments:
Post a Comment