TANGAZO


Thursday, January 19, 2012

Rais Kikwete, Aomboleza msiba wa Jeremiah Sumari


 


Rais Jakaya Kikwete, akimpa pole, mjane wa marehemu Jeremia Sumary, Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha wa  zamani aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es salaam. Hapa ni nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach, Dar es salaam jioni hii.



Rais Jakaya Kikwete, akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Jeremiah Sumari, Mbezi Tangi Bovu jijini.

Rais Jakaya Kikwete, akiongea na ndugu na jamaa wa marehemu pamoja na Spika Anne Makinda, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa ambaye ni mzazi wa binti aliyeolewa na mtoto wa marehemu Sumar.
 

Rais Jakaya Kikwete, akitoa pole kwa wafiwa nyumbani kwa marehemu Jeremiah Sumari, Tangi Bovu, Mbezi Dar es Salaam. 
 

No comments:

Post a Comment