Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mke
wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki na Naibu Waziri wa Fedha, marehemu Jeremiah
Sumari, Mama Miriam Sumari, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Tang Bovu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo
cha mbunge huyo, kilichotokea usiku wa kuamkia leo, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
alikokuwa amelazwa. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na mke wa
aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki na Naibu Waziri wa Fedha, marehemu Jeremiah Sumari,
Mama Miriam Sumari, wakati alipofika nyumbani kwao, Tangi Bovu, Dar
es Salaam leo Januari 19, 2012, kwa ajili ya kutoa pole kufuatia kifo cha mbunge
huyo kilichotokea usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa
amelazwa.




No comments:
Post a Comment