
Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans, akifafanua jambo kwenye mkutano wa
kuhitimisha mradi wa kuwawezesha watu wenye ulemavu kuwa waelimishaji kwa
walemavu wenzao kuhusu vita dhidi ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi na Ukimwi,
jiji Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Jamii wa CCBRT, Brenda
Msangi.
Mkurugenzi wa Huduma za
Jamii wa CCBRT, Brenda Msangi akizungumza katika mkutano huo.
Meneja Mradi wa CCBRT,
Clement Ndahani, akijibu maswali mbalimbali yaliyoelekezwa upanda
wao na watu wenye ulemavu, waelimishaji rika leo, katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam.
wao na watu wenye ulemavu, waelimishaji rika leo, katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam.
![]() |
| Mwenyekiti wa watu wanaoishi na
Virusi vya Ukimwi, Vitalis Makayuga, akichangia hoja na kuomba CCBRT, isisitishe mpango huo, ili walemavu waendelee kuelimika juu magonjwa hayo. |
Hamis Mchuro ambaye ni
Muelimishaji Rika kutoka Kijitonyama, akiipongeza CCBRT kwa kuwawezesha
waelimishaji rika walemavy nchini.
Mwelimishaji Rika Farida
Chamwana, kutoka Kilosa Morogoro, akitumia lugha ya alama kuchangia hoja wakati
wa mkutano huo.
Mwelimishaji Rika, Neema
Abas kutoka Ngamiani Tanga, mwenye ulemavu wa kutosikia, akichangia hoja katika
mkutano huo.
Baadhi ya Watu wenye
Ulemavu wakiwa katika mkutano wa kuhitimisha mradi wa kuwawezesha Watu wenye
Ulemavu kuwa waelimishaji kwa walemavu wenzao juu ya vita dhidi ya maambukizi
ya virusi vya Ukimwi na Ukimwi, jiji Dar es Salaam leo.







No comments:
Post a Comment