
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron mjini Davos, Uswisi.

Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Mwenyekiti wa Bill and Melinda Gates Foundation, Bill Gates wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Uswis jana. (PICHA YA IKULU)

Rais Jakaya Kikwete akikutana na Madame Sadako Ogata, Rais wa Japan International Cooperative Agency mjini Davos.

Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Walmart, Doug Mc Millon, wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Uswis.

Rais Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra, wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Uswis.

Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Australia, Kevin Rudd, wakati wa Kongamano hilo, mjini Davos, Uswis.

Rais Jakaya Kikwete akiagana na Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga baada ya kufanya naye mazungumzo mjini Davos.
No comments:
Post a Comment