TANGAZO


Wednesday, January 18, 2012

Profesa Maghembe, akutana na kizaazaa cha wakulima Mbeya

 Baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Mbozi wakimshangilia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (hayupo pichani), baada ya kuwaruhusu kuongea na Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Profesa Jumanne Maghembe, aliyekuwepo katika ukumbi wa Halmashauri hiyo, kwa ajili ya kutatua mgogoro wa wakulima wa kahawa katika ziara ya Waziri aliyoifanya wilayani humo hivi karibuni. (Picha zote na Venance Matinya)

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, akizungumza na baadhi ya wakulima wa kahawa wilayani Mbozi, waliokuwa wakimzuia Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Profesa Jumanne Maghembe (nyuma yake kulia), kuingia ukumbini kwa ajili ya mkutano wake na wakulima hao hadi  Mkuu huyo wa Mkoa alipoingilia kati.

No comments:

Post a Comment