Wasanii wa kikundi cha China, wakitumbuiza wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa Kichina usiku wa kumkia leo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. |
Kikundi cha Sanaa cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kikitumbuiza wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa Kichina, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. |
Wasanii wa kikundi cha
China, wakitumbuiza wakati wakiaadhimisho ya mwaka mpya wao, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Vijana wa Kichina wakionesha ufundi wao wa kuzicheza ngoma za asili ya Kichina katika Maadhimisho ya mwaka mpya wao, Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo.
Wasanii wa Kichina wakicheza moja ya ngoma zao katika maadhimisho hayo.
No comments:
Post a Comment