TANGAZO


Monday, January 16, 2012

Waziri Mkuu Pinda akutana na mstaafu Msuya


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu, mstaafu, Cleopa David Msuya kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu, Dar es salaam leo, Januari 16, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
 
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto), akizungumza na Waziri Mkuu, mstaafu, Cleopa  Msuya, Ofisini kwake, Dar es salaam leo. 

No comments:

Post a Comment