Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifurahi jambo na ujumbe kutoka Abbort Fund, Andy Wilson (katikati) na Dk. Ayub Magimba, wakati walipomtembelea ofisini kwake, Ikulu, Dar es Salaam leo Januari 18, 2012 kwa ajili ya mazungumzo. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe wa Abbort Fund, ulipomtembelea ofisini kwake, Ikulu, Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment