TANGAZO


Wednesday, January 18, 2012

Wawakilishi Zanzibar

 

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Serikali ya Zanzibar, wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa Baraza hilo, mjini Zanzibar, baada ya kuahirishwa leo mchana.
Kutoka kushoto ni, Machano Othman Said wa Mwembemakumbi, Omar Yussuf Mzee (kuteuliwa) na Ismail Jussa wa Mjimkongwe. (Picha na Martin Kabemba)



No comments:

Post a Comment