Pages

Friday, January 20, 2012

Kandoro na Mgomo wa Madereva wa Malori Mbaya

 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), Mhandisi Aron Kisaka, akizungumza na viongozi wa Madereva wa Malori yaendayo nje ya mji wa Tunduma jana, wakati wakitafuta suluhu ya kumaliza mgomo wa madereva hao, uliodumu kwa siku tatu na kumalizika jana. Kulia ni Mkuu wa Polisi wa mji mdogo wa Tunduma, Ally Wendo. (Picha na Dotto Mwaibale)


Viongozi wa Madereva wa Malori yaendayo nje ya nchi wakiwa katika mkutano na viongozi wa Sumatra wa kujadili mgomo wao wa siku tatu ambao jana ulifikia tamati baada ya kukubali kusaini mikataba ya ajira.


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, akizungumza na madereva wa malori yaendayo nje ya nchi (hawapo pichani), katika mkutano uliofanyika eneo la Sogea jana, wakati alipokuwa akiwaomba wasitishe mgomo wao wa kushinikiza wapatiwe mikataba ya ajira. Mgomo huo ulimalizika jana.

No comments:

Post a Comment