Viongozi wa Madereva wa Malori yaendayo nje ya nchi wakiwa katika mkutano na viongozi wa Sumatra wa kujadili mgomo wao wa siku tatu ambao jana ulifikia tamati baada ya kukubali kusaini mikataba ya ajira.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, akizungumza na madereva wa malori yaendayo nje ya nchi (hawapo pichani), katika mkutano uliofanyika eneo la Sogea jana, wakati alipokuwa akiwaomba wasitishe mgomo wao wa kushinikiza wapatiwe mikataba ya ajira. Mgomo huo ulimalizika jana.

No comments:
Post a Comment