Pages

Friday, January 20, 2012

Waziri nchimbi na Mkataba wa Vijana wa Afrika

 Waziri  wa Habari, Vijana, Utamaduni  na Michez, Dk. Emmanuel  Nchimbi, akifafanua jambo  kuhusu mkataba wa Vijana  wa Afrika kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya  Bunge ya Maendeleo ya Jamii, ukumbi wa mkutano wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto leo, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Sihaba Nkinga na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Juma Nkamia.


 Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Vijana, James Kajugusi, akifafanua jambo leo, kuhusu mkataba wa   Vijana  wa Afrika  kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya  Bunge ya Maendeleo ya Jamii kwenye ukumbi wa mkutano wa Wiizara ya Maendeleo ya Jamii.



Waziri  wa Habari, Vijana, Utamaduni na Dk.Emmanuel Nchimbi (katikati), akiwa pamoja na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kwenye ukumbi wa mkutano wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, wakati wa kujadili mkataba wa Vijana wa Afrika leo. (Picha na Magreth Kinabo - MAELEZO

No comments:

Post a Comment