Rais Jakaya Kikwete, akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Burundi nchini Issa Ntambuka alipofika Ikulu kujitambulisha leo.
Rais Jakaya Kikwete, akipokea hati toka kwa Balozi wa Umoja wa Ulaya, Filiberto Ceriani Sebregondi, alipofika Ikulu, Dar es Salaam leo kabidhi hati hizo.
Rais Jakaya Kikwete, akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Denmark nchini, Johnny Flento, Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiagana na Balozi wa Uturuki nchini, Ali Davutoglu baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo, Ikulu Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment