Askofu Charles Godi wa Habari Njema kwa Wote,akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu mkutano wa maombi ya kuliombea Taifa baada ya kutimiza miaka 50 tokea kupata Uhuru, yatakayofanyika kwenye Viwanja vya Biafra Kinondoni, jijini Januari 14. Kulia ni Mchungaji James Manyama na Mchungaji Martin Ndaki. (Picha na Kassim Mbarouk)
No comments:
Post a Comment