Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Tanzania nchini Misri Mohamed Haji Hamza, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo, kumuaga Rais. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Misri, Mohamed Haji Hamza, aliyefika Ikulu mjini Zanzibar leo, kumuaga Rais kwa ajili ya kwenda nchini humo kuanza kazi yake.
No comments:
Post a Comment