TANGAZO


Friday, May 25, 2018

WAZIRI KAMWELWE ASAINI MKAKATI UNAOGUSA UENDELEZAJI NA UTUNZAJI WA RASILIMALI MAJI BARANI AFRIKA

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe  (wa pili kushoto), akisaini mkakati kuhusu uendelezaji na utunzaji wa rasimali maji barani Afrika ofisini kwake mapema leo. 
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe  (kulia), akisaini mkakati kuhusu uendelezaji na utunzaji wa rasimali maji barani Afrika ofisini kwake mapema leo. 
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (kushoto), akifuatiwa na Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitika Mkumbo, pamoja na wajumbe waliohudhuria kikao kutoka Baraza la Mawaziri wa Maji Barani Afrika (AMCOW).


No comments:

Post a Comment