Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (MST) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiwa tayari kwa maandamano ya Mahafali ya 28 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (MST) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza kwenye Mahafali ya 28 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya.
Baadhi ya wahitimu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) wakiwa katika Mahafali ya 28 ya chuo hicho yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya.
Mtendaji Mkuu na Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania Dkt. Henry Mambo akizungumza wakati wa ya 28 ya chuo hicho yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (MST) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akiwa meza kuu na baadhi ya viongozi wakati wa Mahafali ya 28 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya.

No comments:
Post a Comment