TANGAZO


Sunday, April 8, 2018

Michezo ya Jumuiya ya Madola : Jamell Anderson na Georgia Jones wavishana pete za uchumba

Georgia Jones na mpenzi wake wakiwa uwanjani

Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionGeorgia Jones na mpenzi wake wakiwa uwanjani
Jumapili itakuwa ni siku ambayo haitasahaulika kwa wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya Team England -na hususan kwa wapenzi hao wawili - hawataisahau kamwe.
Baada ya rimu ya wanawake ya England kuichapa Msumbiji katika michezo ya Jumuiya ya Madola , Upande wa timu ya wanaume ikailaza ile ya Cameroon.
Lakini sherehe zilikua bado hazijaanza pale.
Wakati timu zote mbili zilipokusanyika uwanjani kusherehekea ushindi wao, Mchezaji wa tim ambacho kingetokea.
Baada ya ule mkusanyiko wa wachezaji kusambaratika mpenzi wa Jones -Jamell Anderson alikuwa amepiga magoti , huku ameshikilia pete ya uchumba - Jones hakuwa na budi ila kusema ndio nakubali.
Alipoulizwa ni kwanini alichagua eneo hilo kumuomba mchumba Jones, Anderson alisema : "Sote tulifanya juhudi kubwa kuwepo hapa.
"Mpira wa kikapu ni sehemu kubwa ya uhusiano wetu kwa hiyo ilikuwa na maana kubwa kumvisha pete ya uchumba hapa ."
Jonesatarejea tena uwanjani Jumatatu wakati ambapo timu ya wanawake ya England itakapokabiliana na Australia katika mchezo wa fainali.
Georgia Jones akionyesha pete ya uchumba aliyovalishwa na mchumba wakeHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionGeorgia Jones akionyesha pete yake ya uchumba pamoja na mchumba wake
Wachumba hao wawili wenye furaha wakiondoka uwanjani THaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionWachumba wawili wakiondoka uwanjani

No comments:

Post a Comment