TANGAZO

Wednesday, March 7, 2018

KAMISHNA MKUU WA TRA AFUNGUA MKUTANO WA MAKAMISHNA WA FORODHA DSM

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (kulia) akizungumza na Makamishna wa Forodha wa Afrika Mashariki mara alipofungua mkutano wa siku mbili wa kujadili masuala mbalimbali ya kiforodha baina ya nchi za Afrika Mashariki 7 Machi, 2018 Jijini Dar es Salaam.

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere akiwa katika picha ya pamoja na Makamishna wa Forodha wa Afrika Mashariki mara alipofungua mkutano wa siku mbili wa kujadili masuala mbalimbali ya kiforodha baina ya nchi za Afrika Mashariki 7 Machi, 2018 Jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment