Mstaafu, Josephine Lwambuka akiwa katika picha ya pamoja katikati na aliye achiwa kijiti cha Kitengo cha magonjwa ya dharula chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili, Faustina Kissinde kushoto na Kiongozi Msaidizi wa Kitengo hicho Mama Mchungaji, Flora Ndulango (kulia).
Mstaafu Josephine Lwambuka katikati akiwa katika picha ya pamoja na watoto wake na baadhi ya marafiki na wafanyakazi wa Hospitali ya taifa Muhimbili (MNH).
Mstaafu Josephine Lwambuka akiingia ukumbini.
Rafiki kipenzi wa Mama Lwambuka, Joyce Chirwa akipungia mikono waalikwa mara alipotambulisha.
Mstaafu, Josephine Lwambuka (wa pili kushoto) akijiburudisha na wafanyakazi wa Kitengo cha Magonjwa ya Dharula Chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wakati alipokuwa akipongezwa katika ukumbi wa Salender Pub uliopo Upanga, Hafla iliyo andaliwa na Wafanyakazi wa Kitengo hicho.
Kiongozi Msaidizi Kitengo cha Magonjwa ya Dharula Chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Mama Mchungaji, Flora Ndulango (kulia) akifungua sherehe kwa Sala.
Muuguzi katika Kitengo cha Magonjwa ya Dharula Chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Charles Maungu akitambulisha baadhi ya wafanyakazi hao waliofika katika hafla hiyo.
Mstaafu, Josephine Lwambuka (katikati) akipungia mikono wageni waalikwa mara baada ya kutambulishwa na Muuguzi katika Kitengo
cha Magonjwa ya Dharula Chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa
Muhimbili (MNH), Charles Maungu (pichani hayupo).
Mkuu wa Kitengo cha magonjwa dharula chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili, Faustina Kissinde akipungia mikono wage waalikwa katika hafla fupi iliyoandaliwa na kitengo hicho ambapo katika kamati hiyo alikuwa Mwenyekiti.
Mkuu wa Kitengo cha magonjwa dharula chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili, Faustina Kissinde alianza kwa kumshukuru Mungu kufikia hapo walipofikia yeye na kamati yake yote na kusema namuomba Mungu azidishe umoja na upendo kati yetu na pili namshukuru muagwa mama, Lwambuka kwa malezi na ushauri wake na nitahakikisha hakuna hata mmoja nitakaye mpoteza kati ya watu ulio niachia kwani nitahakikisha anashirikiana nao kwa hali na mali, Kisinde alisema, Jambo la kujivunia kwa mama huyu ni kuiga yale yote mazuri aliyokuwa akiniambia kabla ya kustaafu kwake, kwanza kujitoa, kujitambua kama ni kiongozi niwazi kusikiliza ushauri na mawazo mazuri na kutatua changamoto na kuwasikiliza wafanyakazi wenzangu, Mama Lwambuka nitakuomba usisite mara nitapokuja kwako kuomba ushauri alisema kissinde.
Mstaafu, Josephine Lwambuka (katikati), akigonganisha Glas na baadhi ya wafanakazi wa Kitengo cha magonjwa ya dharula chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati wa hafla fupi ya kumpongeza kwa kustaafu kwa mujibu wa sheria katika Ukumbi wa Salender Pub uliopo Upanga.
Mmoja wa wafanyakazi katika kitengo hicho akicheza mziki wa kwao wa kiasili akirukaruka mfano wa chura.
Mstaafu, Josephine Lwambuka (katikati), akigonganisha Glas na baadhi ya wafanakazi wa Kitengo cha
magonjwa ya dharula chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili
wakati wa hafla fupi ya kumpongeza kwa kustaafu kwa mujibu wa sheria
katika Ukumbi wa Salender Pub uliopo Upanga.
Mkuu wa Kitengo
cha magonjwa dharula chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili
na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Faustina Kissinde (kulia) akishirikiana kukata Keki na aliye wahi kuwa Mkuu wa kitengo hicho, Josephine Lwambuka
Aliyekuwa Kiongozi wa Kitengo cha Magonjwa ya Dharula Chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Josephine Lwambuka akilishana kipande cha Keki na kiongozi
Msaidizi Kitengo Mama Mchungaji, Flora Ndulango kwa mtindo wa kuukaribisha mwaka 2018.
Msaidizi Kitengo Mama Mchungaji, Flora Ndulango kwa mtindo wa kuukaribisha mwaka 2018.
Kiongozi Msaidizi Kitengo cha Magonjwa ya Dharula Chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Mama Mchungaji, Flora Ndulango (wapili kushoto) akiongozana na wafanya kazi wenzake kumpongeza aliyekuwa Mkuu wa Kitengo hicho, Josephine Lwambuka.
Baada ya kutunzwa Mstaafu, Josephine Lwambuka akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi hao
Mkuu wa Kitengo cha magonjwa dharula chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Faustina Kissinde akiongoza wafanyakazi wenzake kwenda kutoa zawadi ya kitengo chake iliyoandaliwa na kamati.
Mkuu wa Kitengo
cha magonjwa dharula chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili
na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Faustina Kissinde akiongoza wafanyakazi
wenzake kwenda kutoa zawadi ya kitengo chake iliyoandaliwa na kamati, Mstaafu akikabidhiwa bahasha kwa mstaafu, Josephine Lwambuka (kushoto).
Aliyekuwa Mkuu wa Kitengo
cha magonjwa dharula chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili, Josephine Lwambuka akibebwa juu kwa ishara ya kuonyesha kumkubali katika utendaji wake wa kazi.
Rafiki Kipenzi wa Mstaafu Mama Lwambuka akizungumza jambo katika hafla hiyo.
Mkuu wa Kitengo
cha magonjwa dharula chumba cha Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili
na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Faustina Kissinde akiwashukuru wote walio husika na kufanikisha Sherehe hiyo.

No comments:
Post a Comment