TANGAZO

Monday, November 27, 2017

RAIS WA ZANZIBAR, DKT. ALI MOHAMED SHEIN AKUTANA NA BALOZI CHINA, MABALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA NA MISRI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe.Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar na kwa mazungumzo leo 27-11-2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe. Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu leo 27-11-2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe. Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kulia Balozi Mdogo wa Chini anayefanyia kazi zake Zanzibar Balozi Xie Xiuowu.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe. Wang Ke, baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Zanzibar alipofika kujitambulisha leo 27-11-2017. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Misri, Mhe. Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor, walipofika kumuaga Rais wa Zanzibar leo Ikulu. 27-11-2017. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha Nchi za Zambia na Misri. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Misri, Mhe. Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor na Balozi wa Zambia Mhe Abrahaman Kaniki, walipofika Ikulu Zanzibar kumuaga Rais wa Zanzibar leo 27-11-2017. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Balozi wa Tanzania anayewakilisha nchini Zambia, Mhe Abrahaman Kaniki, alipofika Ikulu mjini Zanzibar kumuaga Rais wa Zanzibar leo 27-11-2017.(Picha zote na Ikulu)    

No comments:

Post a Comment