TANGAZO

Monday, November 27, 2017

JAJI MKUU WA TANZANIA PROFESA IBRAHIM JUMA AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR DKT. ALI MOHAMED SHEIN, AZUNGUMZA NAYE IKULU MJINI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Kijarida cha Mahakama Kuu Tanzania na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar leo 27-11-2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis  Juma alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar leo 27-11-2017. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa amefuatana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Profesa Ibrahim Hamis Juma, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha leo. 27-11-2017.(Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment