Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni
(Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA
Serikalini Bw. Priscus Kiwango akieleza kazi mbalimbali zinazohusu TEHAMA
Serikalini na utekelezaji wake.



No comments:
Post a Comment