![]() |
Wasanii Ben Pol na Jux wakiimba pamoja wimbo wao walioshirikiana ‘Nakuchana’ kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma usiku wa kuamkia Jumatatu.
|
![]() |
Aslay akiburudisha wakazi wa Kigoma.
|
![]() |
Msanii Chege na Nandy wakiimba pamoja wimbo wao walioshirikiana ‘kelele za chura’kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma usiku wa kuamkia jumatatu.
|
![]() |
Darasa akiburudisha wakazi wa Kigoma.
|
![]() |
Wasanii Stamina na Maua sama wakiimba kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
|
![]() |
Mr Blue akipagawisha umati wa wakazi wa Kigoma
|
![]() |
Msanii wa Bongo flea Ommy Dimpoz akiimba kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
|
![]() |
Roma Mkatoliki akiimba kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
|
![]() |
Roma mkatoliki akiburudisha umati wa wanakigoma waliojitokeza katika viwanja vya Lake Tanganyika.
|
![]() |
Young D akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo fiesta.
|












No comments:
Post a Comment