|
Kaimu Katibu
Tawala mkoa Tabora, Nathalis Linuma akizungumza na waandishi wa habari na
wanafunzi wa shule ya wasichana Tabora kabla ya makabidhiano ya huduma ya
intaneti ya Tigo kwenye shule hiyo.
|
|
Mtaalam wa mtandao
toka Shule, Direct Rajabu Mgeni akitoa maelezo kwa mgeni rasmi namna ya kutumia
huduma ya Tigo eSchool.
|
Mgeni Rasmi kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Nathalis Linuma akiwa kwenye picha ya pamoja na walimu, wanafunzi na uongozi wa Tigo mara baada ya uzinduzi.
|

No comments:
Post a Comment